Taja jina la member ambaye tabia yake huipendi

Unatafuta ukweli wa nini wakati majibu ya ukweli unayo?

Unajuaje kwamba majibu ya ukweli ninayo?

Na hata kama ninayo, vipi kama nina majibu ya ukweli, lakini sina maswali ya ukweli?

Na hata kama naona nina maswali na majibu ya ukweli, Socrates said, the unexamined life is not worth living.

Hata kama unaona ukweli unao, ni muhimu kujitahini kila mara kuhakikisha kwamba.

1. Huo uliouona ukweli jana, ni ukweli bado leo. Mambo yanabadilika, kuna vitu vilikuwa kweli jana, lakini leo si kweli.

2.Huo ulioufikiria ukweli jana, ni ukweli kweli, na si kughafilika kwako tu kulikokufanya ufikiri ni ukweli. Kuna mambo ambayo jana tulifikiri ni ukweli, lakini kadiri muda ulivyokwenda tukaona si ukweli.
 
@mkwepu jr hahaha anaga time yee anamwaga sake likes anapita ivi ..

Mkwepu umetisha kinoma..[emoji41][emoji41]

Wale mbuzi Arsenal jana vipi mkuu ..wamepigwa tena???
 
Kuna njemba inaitwa
sadari
Nadhani wale wazee wa mjani mnatambua kazi za sadari ni kupushi Kate
Sasa chungeni vijana wenu wasikutane na sadari.
 
Sasa naanza kuamini mtoa Uzi alichokiandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…