Samson Ngomboli
JF-Expert Member
- Oct 30, 2019
- 1,598
- 2,710
Kila binadamu anamapungufu huenda unaona mtu anakukera,ila wewe ukawa hujui kuwa ndio kero zaidi kwa Wengine,chamsingi tuvumiliane tu na kusameheana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatafuta ukweli wa nini wakati majibu ya ukweli unayo?
@mkwepu jr hahaha anaga time yee anamwaga sake likes anapita ivi ..Kuna id inaitwa mkwepu jr hahaha huyu simchukii. Naikubali sana hii id inavyojiendesha yaani ikiingia kwenye uzi yenyewe ni kumwaga like tu na haulizi.
Mfano wewe utasema paka ni mnyama anakupa like, means anakubaliana na wewe, kisha akitokea mwingine akisema paka ni mmea na huyo pia anampa like, kwamba sasa hiv kakubali paka ni mmea, akija mwingine akiwatukana nyinyi kua mnaongea utumbo, atampa like na huyo pia.
Sasa akitokea mwingine akamcrush huyu kwa kutukana wenzake na kumwambia aache watu wawe free, na huyo pia atampa like.
Hii id chiboko.
Tulivyoona Ljungberg ana kipara tukadhani Guardiola kumbe Mwinyi Zahera@mkwepu jr hahaha anaga time yee anamwaga sake likes anapita ivi ..
Mkwepu umetisha kinoma..[emoji41][emoji41]
Wale mbuzi Arsenal jana vipi mkuu ..wamepigwa tena???
HahahahaaaaTulivyoona Ljungberg ana kipara tukadhani Guardiola kumbe Mwinyi Zahera
Kwahiyo hakuna anayenichukia humu?
Okay.Uchukiwe na nani kama sio watu wanataka kujichumia dhambi bure? Ungekuwa na hela hapo sawa, sasa maisha magumu unayoishi halafu mtu akuongezee na kukuchukia juu si anachuma dhambi tu?
Mshana Jr kwa mambo yake ya kilozi, mbingu ataisikia[emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkongwe anakutazama tuu
Utaamkia ziwa Jipe
Ila kuna watu mnachuki za kuchezea, hamna uchungu nazo kabisaaa!
Huku mtaani tukwaruzane na watu, na JF napo ambapo hatufahamiani tuchukie ID?
Kiwango cha hali ya juu sana cha chuki.
Kuna njemba inaitwaKuna wadau humu miyeyusho sana.
Taja tabia usizozipenda kutoka kwao hivyo wajirekebishe.
Kwangu hawa nawaona miyeyusho sana
1)Sexyles
Huyu anaboa mara anajifanya wa kike mara wa kiume haijulikani.
2)kiduku lilo
Jamaa ana fake sana maisha.
3)Kiranga
Anasema haaimini uwepo wa Mungu ila mada za Mungu zikianza kujadiliwa huyo anajileta kutafuta kiki.
Sasa naanza kuamini mtoa Uzi alichokiandikaWewe kutonipenda mimi ni haki yako ya kikatiba.
Wewe kujieleza kwamba hunioendi mimi ni uhuru wako wa kujieleza, haki ya kikatiba.
Natetea haki zako hizi.
Na pia, usiponioenda kwa sababu na mimi natimiza haki zangu za kikatiba za kujueleza, mimi nafurahi sana.
Kwa sababu sijawahi kupungukiwa na wanaonioenda, sitafuti kuoendwa kuoendwa kunanitafuta mimi.
Natafuta ukweli tu.
Na kama ukweli unakukata maini mpaka useme hunipendi, all the better for me.
Bahafi mbaya au nzuri mimi hata sikukumbuki wewe ni nani hapa JF. Siwezi kusema sikupendi, sikujui, sikukumbuki kabisa.
Jinsi ambavyo uko insignificant kwangu.
Kama una link ya kukidownload au pdf yake, naomba uweke mkuu...The book to read is "The Courage to Be Disliked: How to Free Yourself, Change Your Life and Achieve Real Happiness - Fumitake Koga, Ichiro Kishimi"
Unaruhusiwa kuamini chochote, lakini kujua ni jambo tofauti.Sasa naanza kuamini mtoa Uzi alichokiandika