Taja jina la member ambaye tabia yake huipendi

Kama kuna member anaitwa rakims namuogopa balaa ninhemtag ila naogopa yakunikuta
 
Haaahaaha[emoji1787][emoji1787]
 
Kuna watu 'likes' hazina maana yoyote kwao
 
Sikuhz kajirekebisha ana mada za kistaarabu siku za nyuma aliboa sana watu tulimtolea uvivu
Naamini bado hajafundishwa mahali flani,kuna kitu mahali hakipo sawa kwake

ana lugha flani za kujibu watu mbaya ambazo sizipendi,nadhani anaamini "kwa sababu hajulikani"

yes hajulikani,na ndio mana nimesema aombe aendelee hivyo hivyo kutokujulikana (nisimjue) ila

katika makosa atakuja yajutia ni pale nitakapomjua physically "nimeshamwahidi na lazima ahadi itimie"
 
Namchukia sana Rickboy kitendo cha kuanzisha uzi wa JE ULISHAWAHI KULA TUNDA KIMASIKHARA?
ule uzi unakula muda wangu sichezi mbali nao.....
Ni haki kabisa ule uzi kufikisha 1million view.
Huyu member JF impe huyu dogo zawadi hao view JF imeingiza mamilioni kutoka google.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…