Taja jina la mtu ambaye michango yake humu huwa inakuboa

Yule aliyeweka picha ya prof muhongo, nikiona amecomment huwa napita hata sitaki kujua amendika nn.. Naona kama ni mtu anayeongoza kunikera.. Napendekeza jamii forum waweze kuweka block. Kama mitandao mingine ili nisiweze hata kumuona kabisa
UNAWEZA KIONGOZI
 
simon mato huyu pia sisomi thread zake mana kabla ya kusoma unajua kuwa kasifia ccm humo ndani.Hakuna kungine
leo sijui hana hela ya bando ....... akishapata jero la kujiunga anaanza mapumba na linamba la simu kaweka anatafuta kiki kuna mahali nimeona amekoment ati anapigiwa sana simu watu wajifunze kutoka kwake nilicheka mpaka nilkapaliwa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…