Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kichaa MOTOCHINI
kichaa Lizaboni
vichaa wa CCM original woooooote
huwa hawanaga hoja yani...then hayaelewagi yani,buk 70 zinapumbaza
Halafu ukitaja......?Mimi huyu wakuitwa kikoozi sijawahi ona kaandika point.
kichaa MOTOCHINI
kichaa Lizaboni
vichaa wa CCM original woooooote
huwa hawanaga hoja yani...then hayaelewagi yani,buk 70 zinapumbaza
NDO NANIMBONA SIJAWAHI KUMSIKIAMimi huyu wakuitwa kikoozi sijawahi ona kaandika point.
UNAWEZA KIONGOZIYule aliyeweka picha ya prof muhongo, nikiona amecomment huwa napita hata sitaki kujua amendika nn.. Naona kama ni mtu anayeongoza kunikera.. Napendekeza jamii forum waweze kuweka block. Kama mitandao mingine ili nisiweze hata kumuona kabisa
KILLAZER NAMBA MOJA SIJUI WA WAPI YULE JAMAASIMON MATO
simon mato huyu pia sisomi thread zake mana kabla ya kusoma unajua kuwa kasifia ccm humo ndani.Hakuna kungineKILLAZER NAMBA MOJA SIJUI WA WAPI YULE JAMAA
leo sijui hana hela ya bando ....... akishapata jero la kujiunga anaanza mapumba na linamba la simu kaweka anatafuta kiki kuna mahali nimeona amekoment ati anapigiwa sana simu watu wajifunze kutoka kwake nilicheka mpaka nilkapaliwa kabisasimon mato huyu pia sisomi thread zake mana kabla ya kusoma unajua kuwa kasifia ccm humo ndani.Hakuna kungine