Taja jina la mtu ambaye michango yake humu huwa inakuboa

Taja jina la mtu ambaye michango yake humu huwa inakuboa

I wonder who is that Lizaboni pengine bora ambavyo simjui kama anakera wengi hivi pengine nami angenikwaza
 
Nini hatima yake baada ya kujua acha mambo ya ajabu jf inawakutanisha watu wa viwango mbalimbali na mitazamo mbali ukitaka hili lako liwe fair kuna ulazima wa kuset vigezo vya kujiunga jf
 
Mimi huwa najiboa mwenyewe hasa nikisha kula
images
 
Back
Top Bottom