Taja jina la mtu ambaye michango yake humu huwa inakuboa

Taja jina la mtu ambaye michango yake humu huwa inakuboa

Motochini pia hajielewi kama lizabon.wana hoja mama na kimaslahi.ova
 
Mimi kuna jamaa wa celebrity forum huwa anaubishi wa kijinga, ananiudhi kishenzi
 
Unaposema hupendi posts za fulani, ni kwa sababu ya itikadi ya huyo mtu au kwa hoja zake?

Hapa kuna la kujifunza, ni kwamba turuhusu akili na fikra zetu zipevuke; tuchangie hoja nje ya mipaka ya itikadi za vyama vya siasa na propaganda. Huo ndio upevu wa fikra.

Vv
 
Back
Top Bottom