Taja Jina la Mtu Maarufu Tz ambaye hujawai kumuona kwa Macho yako [Live]

Mastaa wa Bongo usiombe kukutana nao, wengi ni njaa tupu hasa wanamuziki na waigizaji,
Kwa upande wangu Mastaa wengi niliokutana nao nilijuta kukutana nao, walinitia hasara tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…