Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kawewe.Kanani
[emoji57][emoji57][emoji57]Thats my huby[emoji8] [emoji8] [emoji8]
Kawewe.
Na bado.[emoji57][emoji57][emoji57]
Nitasubiri nione...ila mfurahishe mmeo asije akakutelekeza maana sina mpango wa kukuoa mmNa bado.
Woote hao uliowataja ni rahisi kuwaona ila sio mzee Said Salim Bakhresa.Wana Bodi.. Katika hali ya Kawaida kuna watu maarufu wengi ambao kwa namna moja au nyengine umekuwa ukiwasikia, ukiwaona kwenye Tv au Magazeti na pengine umekuwa ukiwafatilia lakini hujawai kuwaona Live.
Kwa Mfano' Mm Tofauti na kwenye Media, sijawai kuwaona Watu hawa kwa macho yangu yaani Live.. .
1. Dr. Dau-Mkurugenzi wa Zamani NSSF
2. Manji
3. Mzee Majuto
4. Naibu Spika Tulia
5. Vanessa Mdee
6. Dr. Harrison Mwakyembe
7. Dj. Majay wa EFM
Yaani hata tubakie mimi na wewe tu duniani siwezi kubali kuolewa na wewe, nitatafuta tu option.Nitasubiri nione...ila mfurahishe mmeo asije akakutelekeza maana sina mpango wa kukuoa mm
Hahaha shemeji sio kwa kunidharau huko. Maneno ya mkosaji.Yaani hata tubakie mimi na wewe tu duniani siwezi kubali kuolewa na wewe, nitatafuta tu option.
Katibu Mkuu wa Chadema hata Jina nimelisahau
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahaha shemeji sio kwa kunidharau huko. Maneno ya mkosaji.
Hapo anatamani hata neno I will marry you liniponyoke
mi kuna kipindi nilukaa nae karibu hasa katika hafla ya harous ya mjukuu wa edha awadh na sikumjua kabisa na tulisalimiana nae alipoondoka ndo jamaa wananambia kua huyo nlokua nae karibu yangu ndo mzee bakhresa wala sikuamini maana alivokaa wala huwez mtambua nilijua mzee wa kawaida kumbe nilikaa na tajirMie Bakhresa hata sura yake siifahamu coz sijawah kuiona live wala kwenye media.