Taja Jina la Mtu Maarufu Tz ambaye hujawai kumuona kwa Macho yako [Live]

Taja Jina la Mtu Maarufu Tz ambaye hujawai kumuona kwa Macho yako [Live]

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Akuuu! Wewe wamakonde tu ndio wanakuweza.
MO11 wangu ananitosha.
Hata wewe unajua vile nampenda,vile nimekufa nikaozaa kwake.
Haya tu.
 
[emoji3] Huwezi kuniaminisha kizembe namna hiyo bila hoja za muhimu. Bado sijaamini kwamba Jina la yesu eti lina Nguvu, kivp yaani?
Kwendraaa kama huamin kafie huko mbele[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji126]
 
We kafie nyuma [emoji23][emoji23][emoji23] pole matani tu usimaindi mrembo wangu wa Nguvu.
Ntakupi[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
 
Mimi watu wote maarufu nshawaona ila kwa kutumia macho ya watu wengine sio yangu
 
Back
Top Bottom