Nasema kuwa na ushemeji na wewe inahitajika uvumilivu mkubwaEti umesema!!
Hapo kwa Bakhresa hapo ,wengi hawamjuiMakonda
Bakheresa
Mengi
Mrisho Gambo
Jecha
Jukwaani au pm?kwa hiyo ulisign tu bila kuusoma mkataba wa mahusiano
tena tuupitie mkataba tuongeze kipengele cha marufuku kuongea na Daby
Mmmh[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Duuuh!! Huu mkataba itabidi nikausome tena kwakweli, hakuna kipengele cha kuutengua?
mkataba kama kutahiriwa kwa mwanaume ni mara moja kisha haurudii tena[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Duuuh!! Huu mkataba itabidi nikausome tena kwakweli, hakuna kipengele cha kuutengua?
relationship agreement page 65 paragraph 2Mzuie bashite kushika simu yako. Atatugombanisha
BalaliWana Bodi.. Katika hali ya Kawaida kuna watu maarufu wengi ambao kwa namna moja au nyengine umekuwa ukiwasikia, ukiwaona kwenye Tv au Magazeti na pengine umekuwa ukiwafatilia lakini hujawai kuwaona Live.
Kwa Mfano' Mm Tofauti na kwenye Media, sijawai kuwaona Watu hawa kwa macho yangu yaani Live.. .
1. Dr. Dau-Mkurugenzi wa Zamani NSSF
2. Manji
3. Mzee Majuto
4. Naibu Spika Tulia
5. Vanessa Mdee
6. Dr. Harrison Mwakyembe
7. Dj. Majay wa EFM
Oooh!! Basi vumilia tu shemeji.Nasema kuwa na ushemeji na wewe inahitajika uvumilivu mkubwa
Hebu huko!!Jukwaani au pm?
Mmmh
Sawa mpenzi!! Alafu hapo sikuona hivi wewe ndio alikuita bashite!!! We Daby ukome.mkataba kama kutahiriwa kwa mwanaume ni mara moja kisha haurudii tena
relationship agreement page 65 paragraph 2
mwanauhusiano anatakiwa kukemea vikali majina ya hovyo hovyo anayoitwa partner wake pia kuonyesha hisia za kupinga kwa vitendo hata ngumi ili kupinga udhalilishaji na lugha ya kuudhi
espy itabidi uhusome mkataba tena
Koh kohNifundishe jinsi ya kufunga mpenzi.
jibu ndioKwa hiyo shemeji pm yako inaenda kufungwa kweli?