Taja Jina la Mtu Maarufu Tz ambaye hujawai kumuona kwa Macho yako [Live]

Taja Jina la Mtu Maarufu Tz ambaye hujawai kumuona kwa Macho yako [Live]

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Duuuh!! Huu mkataba itabidi nikausome tena kwakweli, hakuna kipengele cha kuutengua?
mkataba kama kutahiriwa kwa mwanaume ni mara moja kisha haurudii tena
Mzuie bashite kushika simu yako. Atatugombanisha
relationship agreement page 65 paragraph 2
mwanauhusiano anatakiwa kukemea vikali majina ya hovyo hovyo anayoitwa partner wake pia kuonyesha hisia za kupinga kwa vitendo hata ngumi ili kupinga udhalilishaji na lugha ya kuudhi

espy itabidi uhusome mkataba tena
 
Wana Bodi.. Katika hali ya Kawaida kuna watu maarufu wengi ambao kwa namna moja au nyengine umekuwa ukiwasikia, ukiwaona kwenye Tv au Magazeti na pengine umekuwa ukiwafatilia lakini hujawai kuwaona Live.

Kwa Mfano' Mm Tofauti na kwenye Media, sijawai kuwaona Watu hawa kwa macho yangu yaani Live.. .

1. Dr. Dau-Mkurugenzi wa Zamani NSSF
2. Manji
3. Mzee Majuto
4. Naibu Spika Tulia
5. Vanessa Mdee
6. Dr. Harrison Mwakyembe
7. Dj. Majay wa EFM
Balali
 
mkataba kama kutahiriwa kwa mwanaume ni mara moja kisha haurudii tena
relationship agreement page 65 paragraph 2
mwanauhusiano anatakiwa kukemea vikali majina ya hovyo hovyo anayoitwa partner wake pia kuonyesha hisia za kupinga kwa vitendo hata ngumi ili kupinga udhalilishaji na lugha ya kuudhi

espy itabidi uhusome mkataba tena
Sawa mpenzi!! Alafu hapo sikuona hivi wewe ndio alikuita bashite!!! We Daby ukome.
 
Back
Top Bottom