Ha ha Haa... Ndiyo Mkuu... Karibu na protea!Mbuyun primary school au
Mapinduzi primary-Mbeya huko zamani sana
La kwanza mpaka la 5 nilikuwa mwanafunzi mzuri wa kwenye 5 bora we kufika mbelembele huko si nikacharuka !! Ilikuwa full kufukuzana
Shule yetu mapinduziiiiii,
Ipo mkoani mbeyaaa,
Wilaya ya mbeyaaaa,
Kwenye kata mbalizi road.
Umenikumbusha mbali sana mkuu. Nilikuwa "nachapa mguu" kutoka soko matola- maghorofani mpaka meta kila siku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefundishwa field itiji ila maendeleo nilikuwa naenda kuwacheck jamaa zangu shule ina wanafunzi wachache na ni shule ambayo ipo ipo tu. Mzazi wako alitumia busara kukuhamishaNilihamishwa maendeleo kutokana na sababu za kitaaluma, ushindani ulikua ni mdogo. Mapinduzi ilisifika sana kwa kuwa bora kitaaluma, nilipata ushindani wa kutosha sana nikagundua kumbe maendeleo nilikuwa nawaongozea "vilaza".
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa nn hukupiga Sango primary!!! mm nilikuwa naishi Sango ila nilisoma shia primary
kweli aisee maana hata cc tuliwaonea wivu sana waliokuwa wanasoma town!!!! kisa wanapanda gari kila siku!!! duh enz zile ajab sanaMzee alikuwa muajiria KAHAWA HAUSE PALE....................... HENCE ALIONA UJIKO KUNIPELEKA MAWENZI.
ANYWAY, NAFURAHI LEO NILISOMA TOWN.
WAHINDI KINA DARUMESH............. TUMEPIGA NAO NA DADA YAKE DARUMISTA........................... HII SHULE ILIKUWA NA MAPONJORO WENGI.
Namba moja darasani au kipa wa shule?Nilisoma shule ya msingi Sunzula 'B'
Toka 1996-2002
Nilikuwa nashika namba 1 Tokaji darasa la kwanza hadi nne, kwa mihura yote la Tano mhura wa (I) nikawa wa pili nilikia sana mpaka babu yangu akanibembeleza na kuku kuchi kama Zawadi akaniambia nikazane na mhura uliofuata nikashika namba 1 hadi kumakiza darasa la VII-2002.
Sent using Jamii Forums mobile app
Moyo wangu umedunda kuona coment yakoIdetero primary school ! nimewah kuwa no 11 darasa la 3 niliugua sana pumu kwa miez 5 nyumbani! lakini miaka yoote nilikua namba 1/2! standard seven tulifaulu mimi na kaka mmoja anaitwa Fred! nilikua naongoza kiwilaya ! asante Mwalimu NDELWA!
Hahahaaaaa. Aiseee. Tufanye ni mie basi.Alosoma shule moja na mimi hayupo humu ina maan