Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

Lugalo (enz za Mwl Buchwa,Julius,Asinyo) & Mirambo primary enz za kina Kinyogori,Chavala,Stev na kipara
 
Dah...miaka yote nilikuwa namba 1 ....kuanzia mwishoni 😀😀😀
 
Itiryo Primary School & Borega 'A' Primary School

Zote ziko Tarime mkoa wa Kipolisi
 
Idetero primary school ! nimewah kuwa no 11 darasa la 3 niliugua sana pumu kwa miez 5 nyumbani! lakini miaka yoote nilikua namba 1/2! standard seven tulifaulu mimi na kaka mmoja anaitwa Fred! nilikua naongoza kiwilaya ! asante Mwalimu NDELWA!
Mbiti kumbe kichwani uko timamu sana! Hongera mama napenda wadada tulip front line

Sent using Jamii Forums mobile app
 
20170828105756.jpg
.

HAKIKA NILIFUNZWA PENZI NIKALIELEWA..[emoji125][emoji125][emoji125]

Street teacher
 
Lugalo (enz za Mwl Buchwa,Julius,Asinyo) & Mirambo primary enz za kina Kinyogori,Chavala,Stev na kipara
Mwl.chavara nilisoma tution yake ya hesabu mwalimu mkali sana yule alikua anakaa mwenge magorofani saiv sijui kastaafu
 
Mwenge Primary School Shinyanga,,,,
Sijui wapo wenzangu humu au ni mimi tu alone
 
Mwl.chavara nilisoma tution yake ya hesabu mwalimu mkali sana yule alikua anakaa mwenge magorofani saiv sijui kastaafu
Ahaaa.....mwalimu mzur wa hesabu yule jamaaa kanifundisha yule mzee hapana bado aja staafu kwa sasa ana ishi Lugalo freti za Mwenge amehama tuition ulipiga mwaka gani
 
Koromije primary school. Upanga.Kata ya kasulu. Wilaya ya lushoto mkoa wa njomba
 
Back
Top Bottom