Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,697
- 15,497
Unapajua?
Sent from my TV
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapajua?
Lugalo ya jeshi? Wapi kina buchwa,.mwl bango, mwl getwa, mwl chavala, kuna mwl anaitwa mwl steven ameokoka ni mnaa balaa2000......yes...
Ndio nipo hapa ligamba mkuu, kwenye maembe mengi hapa. Shule iko mkono wa kushoto ukiwa unaenda nyamswa.Unapajua?
Sent from my TV
Mkuu kama unaenda nyamswa shule ipo upande wa kulia baada tu ya kupandisha mlimaNdio nipo hapa ligamba mkuu, kwenye maembe mengi hapa. Shule iko mkono wa kushoto ukiwa unaenda nyamswa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuuh! Pole Sana. Ila mwalimu wako alikuwa na malengo mazuri kwako!Sitosahau siku nimeshau kifaa jembe nlikula fimbo moja matata shule ya msing GERA
Sent using Jamii Forums mobile app
twiga!sokoine!azimio..mwangaza....chagua 1 ujirani mwema!Moringe primary school.
Temeke - Dsm
Nkajua Ubungo NHCUbungo kisiwani p/s iko wilaya ya ubungo hapa karibu na river side,. Kipindi hicho mwalimu mkuu alikuwa mama mmoja namkumbuka kwa jina la Mwaseba. Alikuwa mtu mzuri sana yule mama.
Ya Iringa au ya Dar?Lugalo.
mwaka ganiKitangili s/msingi Nzega.
Namkumbuka mwalimu Kagenzi-english darasa la tatu tulimwita "mwalimu that is ittttts".
Pia mwalimu Joel Kigatta-hesabu farasa
Sent by Nokia E5 using Jamii Forums mobile app