Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

f60d76f88c75ee241fbc1f12ae1504e6.jpg

Itaje shule ya msingi ambayo wewe umesoma na Mkoa iliopo unaweza kumpata rafiki yako humu mlie soma naye
 
Nimesoma Kolomije Primary,nikaenda Seco Misungwi nikapiga zero. Nikaenda Mwanza kurudia wapiii,nikanunua jina la Paul kujiunga na Chuo,kisha huyoooo MuccoBs Moshi na ma-disco na masap ya kufikia tu

Nikazama kwenye chama kujipenyeza penyeza mara RC. Mimi ni nani?
 
Back
Top Bottom