Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

Nimegonga shule 3 tofauti...Bunge primary school tulikuwa tukipata tu unyoya wa Tausi tunaringishiana na kuweka katikat ya daftari, Nikaja Kimanga PS nikamalizia Muungano PS, hapa tulienda Mikumi basi Nyani wakavamia hostel ya mademu ghafla jion jion hv, Madem wakakimbilia kwny hostel zetu...kilichofuatia daah...hahaaaa
 
!
!
Mbuyuni Primary School, Morogoro hiyo iko maeneo ya vibandani B. Tulikuwa na chama la wana la kuitwa Black viba. Siwezi msahau mtu mmoja alikuwa anaitwa Belo. Huyu alichimba ubao kuandika jina lake ubaoni darasa la Sita A na haikutolewa kwa kipindi chote niko pale
 
shule ya msingi mtakuja... chama maarufu sana toka enzi hizo hakuna vi saint saint
 
Back
Top Bottom