mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,092
- 4,896
Swadakta! Jitambulishe ww kwanza!
Wewe hapo ni yupi kwanza?tuanzie hapo kisha mengine yataendelea.
IST
Itaje shule ya msingi ambayo wewe umesoma na mkoa iliopo unaweza kumpata rafiki yako humu mlie somanae
Le g-great!! Colonnel Bangalla!! Mukuu ya muyi kubhwa ya Leopordville!Nimesoma Kolomije Primary,nikaenda Seco Misungwi nikapiga zero. Nikaenda Mwanza kurudia wapiii,nikanunua jina la Paul kujiunga na Chuo,kisha huyoooo MuccoBs Moshi na ma-disco na masap ya kufikia tu
Nikazama kwenye chama kujipenyeza penyeza mara RC. Mimi ni nani?
Ah wewe? Masikia madukani kuna lami siku hizi mpaka kule MissionMbirani sikonge