Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

Mie sitataja shule ila kama kuna aliyefanya mtihani wa "MSUPILA" mwaka 1971 ajitokeze!
 
e4ddcb466ee6287837c812deebd70190.jpg

Wewe hapo ni yupi kwanza?tuanzie hapo kisha mengine yataendelea.
Swadakta! Jitambulishe ww kwanza!
 
ikuti primary school iko mbeya eneo la ikuti jirani na chuo cha MUST au jirani na inyala
 
Nimesoma Kolomije Primary,nikaenda Seco Misungwi nikapiga zero. Nikaenda Mwanza kurudia wapiii,nikanunua jina la Paul kujiunga na Chuo,kisha huyoooo MuccoBs Moshi na ma-disco na masap ya kufikia tu

Nikazama kwenye chama kujipenyeza penyeza mara RC. Mimi ni nani?
Le g-great!! Colonnel Bangalla!! Mukuu ya muyi kubhwa ya Leopordville!
 
Songambele singida iramba, Sabasaba singida manispaa, mseto geita
 
Takwimu za hao unaowita marafiki zipo shule ambayo kila mmoja amepitia. Acha huku kwenye ID na majina fake.

Vinginevyo umeingia kwenye chumba cha mtihani na majibu ukiwa hujui maswali yakoje na sasa unatafuta maswali.
 
Back
Top Bottom