!
!
Mbuyuni Primary School, Morogoro hiyo iko maeneo ya vibandani B. Tulikuwa na chama la wana la kuitwa Black viba. Siwezi msahau mtu mmoja alikuwa anaitwa Belo. Huyu alichimba ubao kuandika jina lake ubaoni darasa la Sita A na haikutolewa kwa kipindi chote niko pale