Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

Idetero primary school ! nimewah kuwa no 11 darasa la 3 niliugua sana pumu kwa miez 5 nyumbani! lakini miaka yoote nilikua namba 1/2! standard seven tulifaulu mimi na kaka mmoja anaitwa Fred! nilikua naongoza kiwilaya ! asante Mwalimu NDELWA!
mwaka gani mkuu
 
BUNGE PRIMARY SCHOOL. LY 2000
MZUMBE SECONDARY SCHOOL 2001-2004
GALANOS HIGH SCHOOL 2005-2007
MZUMBE UNIVERSITY 2007-2010
LONDON SCHOOL OF BUSINESS Msc 2011-2012


Vijana tafuteni elimu. Elimu itafungua milango yenu. Achana na porojo za kusema kupata GPA kubwa haina maana.

NEXT.......
 
Lipumburu PS. Mwl Nanchetta. Hakuna aliyefaulu ST7. Nikaingia UPE, nastafu mwakani..
Kubali au kataa wewe ni Mkazi wa MTWARA.
Likizo nilikuwa naenda kule kwa Mzee wangu hilo jina lilikuwa linatumika sana huko.
Nimekumbuka mbali sana yaan.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…