sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Kisha mihogo tulikuwa tunakula kwa yule baunsa pale njia panda kwenda moro sec na forest
komesha korona
Mchikichini au Bungo?
komesha korona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchikichini au Bungo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kisha mihogo tulikuwa tunakula kwa yule baunsa pale njia panda kwenda moro sec na forest
komesha korona
Kuku nao wapo kwenye swaum hawali usihofu😂😂😂Hahahaaa!!! Naona wamwaga mchele kwenye kuku. 😅😅😅
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimekula sana mohogo kwa baunsa aisee!!
Mimi autodidact.Nawewe ulisoma shule ya watoto wa mabeberu?
komesha korona
Hahahaaa. Jibu la kikayumba kayumba kabisa hili Sesten. 🙈🙈🙈Kuku nao wapo kwenye swaum hawali usihofu😂😂😂
Wa kayumba hatukaukiwagi maelezo na majibu😂😂😂Hahahaaa. Jibu la kikayumba kayumba kabisa hili Sesten. 🙈🙈🙈
Mana wa Ushuani saa hizi bado angekiwa anatafuta maana ya kumwaga mchele kwenye kuku wengi. Hahahahaa. Lol.
Mimi autodidact.
Mwanza moja hiyo. Nyanza Primary waijua? Wakati huo ulikua inavuma sana
Naam!Mwana OPS 😎