Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

Aiseee!! Nilikuwa na rafiki yangu anaitwa Sindanii yaani alikuwa nikienda kwao najifunza kuna ile salamu Takwenya hakafu anaitikia Iikoo pia nilikula sana Mangararumo. 😅😅

Hapana aisee mi nilikuwa nabeba fagio na kidumu tena kila mmoja alikuwa na eneo lake ambalo kila akifika shule lazima liwe safi.
Sindanii atakua alikufundisha kupika Mangararumo. Baada ya Ramadhani hebu upike basi halafu unialike nije nionje🤪🤪🤪

Kama ulibeba fagio na kidumu cha maji basi tutakua tunaongea lugha moja. Wakati huo wanafunzi wanashindana kutunza bustani za maua. Wayajua mauwa saa sita Shadeeya ?
 
Lugoda Primary 1 - 3, nikahamia Uhuru Mchanganyiko 3-4 Nikahamia Uzuri primary 4-5 nikamalizia mugabe 5 - 6
 
Mbona hufananii sasa?

Mi ntakuwekaga tu huko ushuani. Potelea pwete. 🏃‍♂️🏃‍♂️
Mamii wa ushuani hawajui kucheza kombolela, hawajui kupinga "ganda ganduka", hawajui kucheza "hakiombeki", hawajui kucheza mpira wa makaratasi(chandimu), hawajui kuruka kamba, hawajui kupinga "msingi bong'oa" hawajui kidali poo kalale nacho, hawajui "kula mbakishie baba", hawaju mchezo wowote. Washazoewea kucheza tennis, golf, swimming na game

Kwanza nikuulize Shadeeya waeza kuta wewe wakishua kabisaa unatuchemsha tu hapa. Ushawahi kucheza ready(nage), dama(lile la kuchora chini na kuruka na mguu mmoja), umeshacheza mdako? Kama hukuwahi kucheza wewe ni wa kishua tu😂😂😂
 
Hiyo Paragraph ya kwanza imefanya nimebakia nacheka mwenyewe tu hapa. 🤣🤣🤣

Hamna mie nimecheza sana hiyo sijui rede tena Arusha miaka hiyo kulikuwa na rede inaitwa mateka. Na hiyo Dama sisi tulikuwa tunaita esta esta.

Huo mdako ndo usiseme kabisaa. 😅😅😅
 
Kama umecheza hayo basi wewe kweli Kayumba mwenzangu🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️😀😀😀
 
Back
Top Bottom