Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

2004_2008 Ngarenaro Primary school kisha 2009_2012 Ndala msufini Primary school
 
Na
Aiseee. Acha kabisa. Mji umenijenga ule Ses huwa nauheshimu mbaya.

Mie Alhamdulillah. Najua weye ndio wale wa St naniliu. 😅😅
Najua Shadeeya, mtu akikulia mitaa ya Ngarenaro, Moshono,Kwa Mromboo, Njiro, Unga Limited na kadhalika, lazima awe mpambanaji. Popote pale anaweza ishi na akapambana na maisha kama kawa. Salute mama la mama👍🏼

Ila sasa enzi zetu sisi shule za Kayumba ndio zilikua mpango mzima. Tulisoma na watoto wa kishua. Wakati huo sote tukisaga lami kwenda na kurudi shule. Waliokua wanachukuliwa na magari ni wachache sana. Huu ubaguzi wa "shule bora" na "bora shule" ni miaka ya karibuni tu
 
Uwiii!! Umesahau Kambi ya Fisi, Mbauda, Kona Nairobi, Olasiti. 🤣🤣🤣🤣
 
Ewaaa, wewe ni mwenyeji zaidi maeneo hayo Shadeeya. Yaani ulibakia kujua kimasai na kimeru tu😂

Ngoja nikuulize, wewe si umesoma zile shule mnazofagiliwa mpaka darasa mnalosomea, mazingira ya shule nk?
 
Aiseee!! Nilikuwa na rafiki yangu anaitwa Sindanii yaani alikuwa nikienda kwao najifunza kuna ile salamu Takwenya hakafu anaitikia Iikoo pia nilikula sana Mangararumo. 😅😅

Hapana aisee mi nilikuwa nabeba fagio na kidumu tena kila mmoja alikuwa na eneo lake ambalo kila akifika shule lazima liwe safi.
 
Back
Top Bottom