Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

Dah...kitambo sana...kwa Bibi [emoji2960]

Sent using Beretta ARX 160
 
11828549_10155968593530533_8586855865261756418_n.jpg


Hili hapa bana shule langu,the best school of all time - Olympio Primary School


Hawa chini majirani zetu Upanga Primary School
25299378_1939759676064438_4799109715071946085_n.jpg
kutoka
 
Dah, tuliokimbilia kuvua samaki msasani beach, na kupaa samaki dagoni ,tuna comment wapi?
 
Nilimaliza 2000s Shule ya Msingi MKILI, Wilaya ya Nyasa, mkoa wa Ruvuma [emoji15].

Tangu darasa la Kwanza mpaka la Saba mimi ni namba moja tu [emoji12], nilifaulu peke yangu wenzangu wakafeli.

Nikasoma O levek, Advance, Chuo mpaka Masters, ila sasa hivi wale wenzangu waliofeli std 7 wana maisha mazuri na furaha kwenye familia zao kuliko mimi niliyesoma ambaye bado nahangaika na maisha huku mjini.
Huko Mkili ndio watu wana maisha mazuri!??Haya Bambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom