Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

Kwa kweli umenisapuraizzz Mtani. [emoji3][emoji3]

Ila hongera mana hizo shule mi nilikuwaga nazisikia tu.

Jamaa linakuibia kirahsi hivyo, IST tangu lini walisoma miaka Saba kama Kayumba..!! [emoji23][emoji23][emoji23]

Ni wivu tu, mi nalipeperushia ndege [emoji1493][emoji1493][emoji1493]
 
Hebu tuzikumbuke Shule zetu za msingi tulizosoma miaka hiyo na Jambo gani ambalo hutalisahau?

Aidha si vibaya ukasema ulikuwa unashika Nafasi ya ngapi.

Karibuni!
ww uliyeanzisha uzi mbona hujasema au umetumwa ??
 
nimesahau nilisoma wapi ila nakumbuka tu nilimaliza kabisa shule ya msingi kwamba ni shule gani ndo sikumbuki kabisa
 
Idisanhambo S/M iliyoko kijiji cha Gimagi, kata ya Shagihilu, enzi hizo tarafa ya Kishapu, wilaya ya Shinyanga vijijini. Ulikuwa ni mwendo wa "block danger" kwa sana, ongea kiswahili!

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Kitunda primary....ilala kutembea umbali 3km kila siku,kila j3 msimu wa Korosho tunaingia msituni
 
Back
Top Bottom