Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Tukutane Geneva.International school of tanganyika (ist) 1984_1990
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukutane Geneva.International school of tanganyika (ist) 1984_1990
Aaah watoto wa uhindini na uzunguni ....Azimio primary school Mbeya mwaka 1979 - 1985
Hahaha mimi wa kayumba jamani. Kayumba pale mjin kasoro bahahari shule mbili zinazotenganishwa na michongoma.Hahahaaa. Ses hana shidda kabisa jirani japo kama anatupiga kamba hivi.
Mana hafananii kabisa na ukayumba.[emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu kwa sasa nipo cape town ila kuna mchongo mmoja nadhani baada ya haya mambo ya covic19 kutulia kidogo tutagumiana pande hizo!
😅😅😅 Wachaaaa!!!Hahaha mimi wa kayumba jamani. Kayumba pale mjin kasoro bahahari shule mbili zinazotenganishwa na michongoma.
komesha korona
[emoji28][emoji28][emoji28] Wachaaaa!!!
Ipo karibu ma Kibo Pr.
Umeona hiyo chifu😂😂😂?Kuna uzi flan siku moja nilikuona unatema yai saana kuandika na kutamka kwa ufasaha. Wewe ndio unatuchora sisi wakayumba
komesha korona
Umeona hiyo chifu[emoji23][emoji23][emoji23]?
Sasa Shadeeya sio kuongea lugha ya mabeberu tu hata kiarabu tena cha pale Maskati anakicharaza vizuuuri. Nadhani mambo ya madrasa hayoNimeona vizuri sema nakusanya ushahidi. Baaada ya iftari nitalipua file
komesha korona
Mchikichini au Bungo?Hahaha mimi wa kayumba jamani. Kayumba pale mjin kasoro bahahari shule mbili zinazotenganishwa na michongoma.
komesha korona
Hapana jk.nyerere pr school zote zipo karibu na ccpIpo karibu ma Kibo Pr.
Oooh, ok
Hahahaaa. Jirani sio kwa kunifananisha huko. Lol.Kuna uzi flan siku moja nilikuona unatema yai saana kuandika na kutamka kwa ufasaha. Wewe ndio unatuchora sisi wakayumba
komesha korona
😅😅Nimeona vizuri sema nakusanya ushahidi. Baaada ya iftari nitalipua file
komesha korona