Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

Nilisoma shule ya msingi Sunzula 'B'
Toka 1996-2002
Nilikuwa nashika namba 1 Tokaji darasa la kwanza hadi nne, kwa mihura yote la Tano mhura wa (I) nikawa wa pili nilikia sana mpaka babu yangu akanibembeleza na kuku kuchi kama Zawadi akaniambia nikazane na mhura uliofuata nikashika namba 1 hadi kumakiza darasa la VII-2002.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…