Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

Bunge primary school nikamalizia Kisarawe primary school opposite na shule ya gerezani
 
Idetero primary school ! nimewah kuwa no 11 darasa la 3 niliugua sana pumu kwa miez 5 nyumbani! lakini miaka yoote nilikua namba 1/2! standard seven tulifaulu mimi na kaka mmoja anaitwa Fred! nilikua naongoza kiwilaya ! asante Mwalimu NDELWA!
Segito huyo!
 
Kijitonyama primary school

Enzi izo around 90's kulikuaga na mti una nyuki wengi....basi siku wakicharuka hakuna masomo ni kukimbia break ya kwanza nyumbani.

Nlikua napenda ile asubuhi tunakimbia mchaka mchaka kuzunguka uwanja kabla ya kuingia darasani.
 
Aisee mimi nlikua nashika no ya 100 naa huko......[emoji1][emoji1][emoji125][emoji125]
 
Shule ya msingi ufala

_ where ever you are remember me_
download.jpg
 
Mukidoma Primary School

Kununua mihogo na samaki kwa mmama flani off campus kuna sehemu uwanjani wa mpira tulikuwa tuna pitisha kuna siku tulikamatwa tukapelekwa mbele ya wanafunzi wote mida ya evening prayer sitosahau vile viboko uku nimeshika samaki zng wenye chachandu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom