Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

Hataar kwel kwel!
Enzi Hizooooo tulibeba Tsh. 5 ya kumnunulia MONITA andazi Saa nne ili asikuandike Msumbufu!!!

Nakupenda Sana Mama Yangu
 
mhn! kama naingia woga hivi? isije ikawa watu wanatafutwa! ilianza ulisoma sekondari gani o-level baadaye zinakuja private msg hivi wewe sio fulani sasa hapa ndo panitisha wakiunganisha dot lazima wakupate
We utafutwe una pesa?

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Kirere cha ng'ombe primary school, niliwahi kuwa no 5 darasani, nilikereka sana, wailkuwa wanaangliziana majibu watu wanne ili wapate nafasi. Wakati nyuma nilkuwa nacheza namba 1 nikifeli sana 2, kuna dada alikuwa ananifukuza kwa karibu sana, naweza nikampita kwa marks 5 tu, kibaya zaidi tulifaulu wawli tu, yule Dada alikuwa kichwa sana,alikuwa anaitwa habiba, ila hakufaulu. Ahsante sana mwalimu chilongani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisawasa Primary school.

Nilianza nikiwa nashika nafasi ya 12, nimemaliza nikiwa nashika nafasi ya 2

Sitasahau , nilivoogopa kumgegeda classmate wangu, sasa najilaumu.

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom