Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

Wewe utakuwa ulikuwa unkaa mitaa ya Uswahilini bila shaka.

No.... Mjohoroni Karibu na Sango.

Basi lilikuwa moja tu linalopita kwetu lilikuwa likiitwa MBUGUNI. Linatokea Kirua, ukilichelewa basi.

Kulikuwa na vinusu mkate - mfano wa hiace vya akina mzee Kashunga na Saleko, hivi viliishia Mdawi au Mbwa Haruki.

Ukivikosa unatembea KM 6 Mpaka KIBORILONI, Pale ndo kulikuwa na soko na Mabasi Mengi.

Nauli Mtu Mzima Shilingi 20, Dent Shilingi 5
 
Kitu nimeanzia segerea primary nilipofika la tano nikahamia maendeleo ni shule moja ziligawanyishwa... Nakumbuka nilikua mtoro sana siku moja mwalimu alituma kundi la darasa la 7 waje kunikamata chimbo hapo nilikua la tano sitahasau aisee maana nilidakwa pamoja na kukimbia kote. Enzi hizo teacher kajiru ni HM.

Xmass Boy.
 
Duuuh!! Wewe ulikuwa unapita kwa Mbwaruki unaenda hadi Sango?? Umekula msoto, mi nilikaa Msaranga Kota za........., tulikuwa tunapandia hapa kwa Alponsi kwenye njia ya kwenda kwa marehemu Ndesamburo. Enzi hizoooo, tunapanda Mapigo Sita na Maranzana nauli dala (TShs 5).
 
Kitu nimeanzia segerea primary nilipofika la tano nikahamia maendeleo ni shule moja ziligawanyishwa... Nakumbuka nilikua mtoro sana siku moja mwalimu alituma kundi la darasa la 7 waje kunikamata chimbo hapo nilikua la tano sitahasau aisee maana nilidakwa pamoja na kukimbia kote. Enzi hizo teacher kajiru ni HM.

Xmass Boy.

uko wapi sasa hv ndugu maana ndio nafundisha hapa maendeleo
 
Ubungo kisiwani p/s iko wilaya ya ubungo hapa karibu na river side,. Kipindi hicho mwalimu mkuu alikuwa mama mmoja namkumbuka kwa jina la Mwaseba. Alikuwa mtu mzuri sana yule mama.
 
Nyawilo Primary School, teacher moja hivi alikuwa ana tumbo kubwa kama Le Mutuz. 1988-1994 [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Lexus Mayai
 
Back
Top Bottom