mafoleni
JF-Expert Member
- Nov 18, 2016
- 220
- 371
nimeso shule moja ipo pale chalinze inaitwa "SENGE" Primary school_walimu wote wa senge hakuna asienijua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shikamoo muhengaLufingo pr school Rungwe Tukuyu, kulikuwa Mwalimu anachapa viboko Shule nzima bila kuchoka,,,tulimchukia sana 1981-1987...tulimpenda sana Mwl wa siasa Na E.K. Julius Ngori...alikuwa anatufanya kuipenda Shule.
Sent using Jamii Forums mobile app
Eti ile ishu ya Papii kocha ni kweli?Mapambano Primary School-sinza
Kama nakuona na kisketi cha blue kilichokubana hahahahah
[emoji2] [emoji15] duh hatari sana[emoji124] [emoji124]nimeso shule moja ipo pale chalinze inaitwa "SENGE" Primary school_walimu wote wa senge hakuna asienijua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mie Mkwakwani prBombo primary school Tanga
duuuuushule ya msingi Yamu-kirua vunjo, katika kipindi chetu tulitembelewa na wageni wa serikal,mama zakia megji, pr sarungi na mkuu wa mkoa kipindi hicho. tulipewa nguruwe wa mradi
wakati fulani zilipita parachut 2 mwalim mkuu akagonga kengele ishara ya kitu chaajabu ambacho hakijawai kushuhudiwa na mtu yoyote, tulijificha chini ya madawati na waalimu.
Ile ina utata kamandaEti ile ishu ya Papii kocha ni kweli?
Ok kamanda, ngoja tuishie hapa kabla Noah nyeusi haijajaIle ina utata kamanda
Hahahahh...!!! Kwel kabisaOk kamanda, ngoja tuishie hapa kabla Noah nyeusi haijaja