Taja jina la shule yako ya msingi ili ufahamiane na rafiki uliosoma nao lakini hapa hamujuani

Dah! Alfu wewe kumbe ni James utamu
Mkuu mbona unakunwa sana na ushoga na mashoga? Limjaalo mtu ndilo limtokalo. Sema tu usaidiwe, wazee wa kucheza na mifumo ya majitaka tupo aisee ya nini uzunguke sana?
 
Mimi na wewe nani punga?

Umeulizwa primary school umetaja shoga si inamaana msitari uliyo katikati ya makalio yako uawasha?
 
Anayewashwa ni wewe ambaye ukisikia tu hilo neno unaanza kupapatikia mabwana wa watu maana linakukumbusha mkuyenge. Kwani tatizo nini mimi kutaja shule niliyosoma au nilifikiri nafanya utani au tabia za Mombasa ulizozoea wewe? Hii ni shule ya umma na serikali imeisajili. Ingekuwa dhambi kuitwa hivi isingesajiliwa. Maneno yana maana tofauti kwa makabila tofauti, so clean up your filth mind we mtoto wa wenyewe. Kuna maisha nje ya huo ushetani wako.
89e145b1ec56ea37a02398efd1403858.jpg
 
Taarabu kumbe ni kipaji chako hongera
 
Taarabu kumbe ni kipaji chako hongera
hiyo huduma unayotaka nikufanyie huko PM mimi kwetu haramu, ntakuripoti. Ni kinyume na sheria, si uende kwa anayekusaidia kukufanya huo mchezo kila siku?
Sikuandika Shoga kwa maana kwamba ninawataka hao watu. Honestly ndio shule niliyosoma. Mods tafadhali huyu mtu ananisumbua na bahati mbaya anazijua ID zangu 2 nimemtumia msg, then anajifanya kunitusi hapa. Hizo LAANA sitaki.
 
Nishakukumbuka mkuu,tena tulifaulu watano tu me na wewe tukabahatika kwenda shule ya kipaji maalumu Chato Secondary.
Ohhoooh yes!!!!! baadaye mimi nikaenda Misungwi Special High School na wewe sijuia nilisikia ulienda kujifunza kuvua samaki sijui wapi nimesahau
 
Back
Top Bottom