Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Ndondocha huyu wa jfGamboshi p/s.rafiki yangu mkuu alikuwa ni ndondocha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndondocha huyu wa jfGamboshi p/s.rafiki yangu mkuu alikuwa ni ndondocha.
Nimesoma ila sio msingiIna maana wewe hujasoma?
Tulikuwa weusi wawili tu Mimi na ww na wewe. Nilikuwa nakaa back bencherVijay Primary School, Gujarat
Mbona hujamtaja rafiki mliƴesoma naƴeheshima kwenu.
kwa wale tusiotumia majina yetu halisi kwenye hili jukwaa naomba tutumie huu uzi kuandika majina ya shule zetu za msingi na miaka tuliosoma kwenye hizo shule ili tuweze kufahamiana,
kama ukiwa na kumbukumbu nzuri unaweza kutaja na rafiki zako wa darasa la kwanza itapendeza zaidi.
binafisi mimi Jijayetu.
nimesoma shule ya msingi miaka ya 90 na mwanzoni kabisa wa miaka ya 2000, katika shule ya msingi Jija B iko mkoani simiyi wilaya maswa.
tuendelee kufahamiana.
Kifuni shule ya msingi huko kibosho Umbwe
Sasa hiyo shule si mlijaa mapunga?Shoga primary