Taja jina la shule yako ya msingi ili ufahamiane na rafiki uliosoma nao lakini hapa hamujuani

heshima kwenu.

kwa wale tusiotumia majina yetu halisi kwenye hili jukwaa naomba tutumie huu uzi kuandika majina ya shule zetu za msingi na miaka tuliosoma kwenye hizo shule ili tuweze kufahamiana,

kama ukiwa na kumbukumbu nzuri unaweza kutaja na rafiki zako wa darasa la kwanza itapendeza zaidi.

binafisi mimi Jijayetu.

nimesoma shule ya msingi miaka ya 90 na mwanzoni kabisa wa miaka ya 2000, katika shule ya msingi Jija B iko mkoani simiyi wilaya maswa.

tuendelee kufahamiana.

OK
 
Usalama mko kazini, siku hizi nyuzi za kuwataka watu wa-reveal identity zao subconciously zimekuwa nyingi sana.
 
images%283%29.jpg
 
Turian primary xcul magomeni Kota 2000
Uwanja wake unamchanga kama jangwani, pembeni kuna muembe mkubwa ukivuka barabara kuna makuburi. Si ndiyo hapo au. Tumesoma wote kimangano alikua mkuu wa school
 
Back
Top Bottom