kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,695
- 20,633
Mambo sister?Asante mzee wa Bunge Primary School
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo sister?Asante mzee wa Bunge Primary School
heshima kwenu.
kwa wale tusiotumia majina yetu halisi kwenye hili jukwaa naomba tutumie huu uzi kuandika majina ya shule zetu za msingi na miaka tuliosoma kwenye hizo shule ili tuweze kufahamiana,
kama ukiwa na kumbukumbu nzuri unaweza kutaja na rafiki zako wa darasa la kwanza itapendeza zaidi.
binafisi mimi Jijayetu.
nimesoma shule ya msingi miaka ya 90 na mwanzoni kabisa wa miaka ya 2000, katika shule ya msingi Jija B iko mkoani simiyi wilaya maswa.
tuendelee kufahamiana.
Nishakukumbuka mkuu,tena tulifaulu watano tu me na wewe tukabahatika kwenda shule ya kipaji maalumu Chato Secondary.Na mimi shule hiyo hiyo na nilikuwa darasa moja na bwana mkubwa.
Kwimba mkuu?Nkalalo shule ya msingi
Usalama mko kazini, siku hizi nyuzi za kuwataka watu wa-reveal identity zao subconciously zimekuwa nyingi sana.heshima kwenu.
kwa wale tusiotumia majina yetu halisi kwenye hili jukwaa naomba tutumie huu uzi kuandika majina ya shule zetu za msingi na miaka tuliosoma kwenye hizo shule ili tuweze kufahamiana,
kama ukiwa na kumbukumbu nzuri unaweza kutaja na rafiki zako wa darasa la kwanza itapendeza zaidi.
binafisi mimi Jijayetu.
nimesoma shule ya msingi miaka ya 90 na mwanzoni kabisa wa miaka ya 2000, katika shule ya msingi Jija B iko mkoani simiyi wilaya maswa.
tuendelee kufahamiana.
Uwanja wake unamchanga kama jangwani, pembeni kuna muembe mkubwa ukivuka barabara kuna makuburi. Si ndiyo hapo au. Tumesoma wote kimangano alikua mkuu wa schoolTurian primary xcul magomeni Kota 2000