Taja jina la shule yako ya msingi ili ufahamiane na rafiki uliosoma nao lakini hapa hamujuani

Taja jina la shule yako ya msingi ili ufahamiane na rafiki uliosoma nao lakini hapa hamujuani

skuli ya kibanda maiti, kisha nikahamia mwembe ladu, halafu nkamalizia kwa haji tumbo mwaka tisa mia sitini na kenda.
 
heshima kwenu.

kwa wale tusiotumia majina yetu halisi kwenye hili jukwaa naomba tutumie huu uzi kuandika majina ya shule zetu za msingi na miaka tuliosoma kwenye hizo shule ili tuweze kufahamiana,

kama ukiwa na kumbukumbu nzuri unaweza kutaja na rafiki zako wa darasa la kwanza itapendeza zaidi.

binafisi mimi Jijayetu.

nimesoma shule ya msingi miaka ya 90 na mwanzoni kabisa wa miaka ya 2000, katika shule ya msingi Jija B iko mkoani simiyi wilaya maswa.

tuendelee kufahamiana.
Mbona hujamtaja rafiki mliƴesoma naƴe
 
Nimesoma shule ya msingi Nyonyou mkoani Iringa wilaya ya Iringa mjini kata ya utombiko
 
shukho primary & secondary school ipo karibu na server za jf
 
Back
Top Bottom