Taja jina la shule yako ya msingi ili ufahamiane na rafiki uliosoma nao lakini hapa hamujuani

Taja jina la shule yako ya msingi ili ufahamiane na rafiki uliosoma nao lakini hapa hamujuani

Ohhoooh yes!!!!! baadaye mimi nikaenda Misungwi Special High School na wewe sijuia nilisikia ulienda kujifunza kuvua samaki sijui wapi nimesahau
Nyegezi mkuu Ila nako nikazungusha. Nikajaribu SUA nikapata sup 4 kati ya masomo 8
 
Naona nina school mate wengi sana huku
my shule: Olele P/School
Moshi vijijini
 
Back
Top Bottom