Umeona eheeDah baada ya miaka kadhaa tutapoteza kabisa majina yetu, Wakoloni nuksi sana
MaharageMaduka
Madilisha
Nkwimba
wewe ni Mpuuzi kweli yaani uzae wewe Jina ulitake kwetu? nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiriaKwa ambao tuna taraji kuwa baba kijacho na Mama kijacho tungependa kuchagua jina zuri la mtoto wa kike na wa kiume.
karibuni
aeiou
Ng'wana bunzali, aisee nimekumbuka mbali sanaMaharage
Mbinzwa
Kanindwa
Shiyumba
Ng'wana bunzali
Tiho
Yose
Yela
Sent using Jamii Forums mobile app