Taja Jina zuri Kwa mtoto

Taja Jina zuri Kwa mtoto

Wa kike Malaika...Waridi...wakiume ...Hekima ma ...Karim full stop

carnte himself
 
Kwa ambao tuna taraji kuwa baba kijacho na Mama kijacho tungependa kuchagua jina zuri la mtoto wa kike na wa kiume.

karibuni

aeiou
wewe ni Mpuuzi kweli yaani uzae wewe Jina ulitake kwetu? nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiria
 
Majina huwa yanaamua hatima ya watu maishani sijawahi kuona wenye majina ya matatizo, shida au dhiki wametoboa maishani kamwe...but muite David, Davy, Davuer ,Daud, Daoud, hawa watu huwa wana karisma ya kupendwa na watu na Mungu pia. Ni watawala na wapambanaji wazuri kwa maana ni iron man wenye mioyo migumu na laini kulingana na muktadha husika utavyowaongoza.

Wakike akiitwa Malaika huwa wametulia na wanajipenda na kuishi rohoni zaidi kuliko mwilini..hata Malaika wa mbingu huwa wanawacelebrate sana Malaika wenzao wa duniani na pia kuwapa ulinzi wa rohoni hawarogeki wala kuvamiwa na majini kirahisi..... Jichanganye sasa umuite mwanao Maimuna uone majini yatakavyomgeuza pango lao.

Majina yana siri kubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ambangile
Anyosisye
Atupakisye
Pampyagilo

Maduhu
Makoye
Sumbu
Masanja
Mwita
Chacha
Wambura
Rhobi
Mangi
Msuya
Mbwambo
Mrema
Msigwa
Chove
Kalinga
Mwalongo
...........ongezea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom