General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
- Thread starter
- #81
mkuu taratibu basiwewe ni Mpuuzi kweli yaani uzae wewe Jina ulitake kwetu? nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiria
aeiou
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu taratibu basiwewe ni Mpuuzi kweli yaani uzae wewe Jina ulitake kwetu? nina wasiwasi na uwezo wako wa kufikiria
mkuu ungetuwekea hzo siri za majina tupate kufahamu nasisi tusifanye makosa kama waliyofanya wazee wetu maana wengi walikuwa wanaitaita tu.Majina huwa yanaamua hatima ya watu maishani sijawahi kuona wenye majina ya matatizo, shida au dhiki wametoboa maishani kamwe...but muite David, Davy, Davuer ,Daud, Daoud, hawa watu huwa wana karisma ya kupendwa na watu na Mungu pia. Ni watawala na wapambanaji wazuri kwa maana ni iron man wenye mioyo migumu na laini kulingana na muktadha husika utavyowaongoza.
Wakike akiitwa Malaika huwa wametulia na wanajipenda na kuishi rohoni zaidi kuliko mwilini..hata Malaika wa mbingu huwa wanawacelebrate sana Malaika wenzao wa duniani na pia kuwapa ulinzi wa rohoni hawarogeki wala kuvamiwa na majini kirahisi..... Jichanganye sasa umuite mwanao Maimuna uone majini yatakavyomgeuza pango lao.
Majina yana siri kubwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Majina huwa yanaamua hatima ya watu maishani sijawahi kuona wenye majina ya matatizo, shida au dhiki wametoboa maishani kamwe...but muite David, Davy, Davuer ,Daud, Daoud, hawa watu huwa wana karisma ya kupendwa na watu na Mungu pia. Ni watawala na wapambanaji wazuri kwa maana ni iron man wenye mioyo migumu na laini kulingana na muktadha husika utavyowaongoza.

Mkuu, hili jina maana yake ni nini?Ethan