Taja Jina zuri Kwa mtoto

Taja Jina zuri Kwa mtoto

Kenyatta, Msigwa, Aron, Stephano, Suleiman, Adam, Daud, Sylvester
Kike : Juliana, Janne, Juliet, Rose, Philomena, Maria, Fatma, Salma, Sylvie, Asiath.
 
Majina huwa yanaamua hatima ya watu maishani sijawahi kuona wenye majina ya matatizo, shida au dhiki wametoboa maishani kamwe...but muite David, Davy, Davuer ,Daud, Daoud, hawa watu huwa wana karisma ya kupendwa na watu na Mungu pia. Ni watawala na wapambanaji wazuri kwa maana ni iron man wenye mioyo migumu na laini kulingana na muktadha husika utavyowaongoza.

Wakike akiitwa Malaika huwa wametulia na wanajipenda na kuishi rohoni zaidi kuliko mwilini..hata Malaika wa mbingu huwa wanawacelebrate sana Malaika wenzao wa duniani na pia kuwapa ulinzi wa rohoni hawarogeki wala kuvamiwa na majini kirahisi..... Jichanganye sasa umuite mwanao Maimuna uone majini yatakavyomgeuza pango lao.

Majina yana siri kubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ungetuwekea hzo siri za majina tupate kufahamu nasisi tusifanye makosa kama waliyofanya wazee wetu maana wengi walikuwa wanaitaita tu.
 
Raymond..
Raphael
Mikael
Gabriel
...
Juliana
 
Cliff pia Nina zuri kwa watoto wa kiume

Mpe anae kupa
 
Back
Top Bottom