Taja kilichosababisha mpaka umpige mkeo au mpenzi wako katika maisha yenu ya mahusiano

siku ali ni nyanyua mkono wake, ndo ikawa hivyo 🙁
 
Mwandishi Chinua Achebe katika kitabu chake cja Antihills of the Savana anasema: "... Sio ushujaa kumpiga mkeo, kama unataka kupigana, kapigane na wanaume wenzio". Mke hastahili kupigwa for whatever reason. Yeye sio mtoto na sio ngoma. Kama mwanaume anavyoweza kukosea, vivyo hivyo na mwanamke.
 
Mi nishapiga mpk nikamtoa damu na talaka nikampatia....beki hazikabi kbs alikua...akisifiwa tu kaachia
 
Ninavyoogapa kipigo na kuupenda mwili wangu huwa najikuta ni mtu niliyenyooka na ndio maana kwenye mahusiano sijawahi kumbana na hiyo dhahama.

Sio siri huwa nashangaa sana mwanaume anayempiga mwenza wake iwe kwa kosa lolote lile kwa sababu siku zote sijawahi ona suluhu ikipatikana kwa kipigo. Ila wanaume mnaopiga wenza wenu Mungu anawaona aisee. Japokuwa wengi wenu mtajifanya hampigi mwanamke ila kiuhalisia ni wanaume wengi sana wasiojua kutatua tatizo pasi kutoa kipigo.
 
Mwanaume ktk mahusiano ni mtawala na co kiongozi

Tambua tofauti ya mtawala na kiongozi utajua

NOT ALWAYS BUT SOMETIMES YES inabidi achezee kichapo akileta upumbavu like cheating
 
Ndio nguvu yao ilipo yani ukimtia mkononi utavyomyumbisha hadi huruma itakujia ila wanakeraaaaa..!!! Unaona sasa hivi nilioa hili likitu la kunikosesha raha hivi ili iweje yani, basi tu nao wanaona raha kupiga makelele tu. Well tusipige hawa watu tena
 
Ndio Mkuu some time wanapoelezwa kwa maneno inakuwa shida kama hali ikiendelea inabidi Mkuu..
Hii nakubali yani na mazingira ya kupigwa huwa wanayatengeneza wenyewe sema ni vile wanataka wapime ile level of tolerance bila kujua hata tairi ukijaza upepo sana linaweza burst vibaya mno!
 
Wakileta upuzi wanapigwa tu hata vitabu vya dini vinasema mwanaume ndio kichwa cha nyumba iweje mwanamke akutawale
 
Sijawahi kumpa kichapo mahondaw wangu...

Kusemana kupo... ila siyo kumpiga..


cc: mahondaw
Siku akianza ukaidi hadi ukakereka utajua kwanini ata tusio na mikono ya kupiga tulifanya hivyo. You love somebody to an extent huwezi hata kuelewa kwanini anakuboa makusudi tu! Thats a womans attitude..shit tests!
 

Kama umestaarabika kupigwa utakusikia kwenye vyombo vya habari tu na inapendeza kuwa mwanamke msikivu.

Kinachofanya wenzio wapigwe ni ukaidi na ma kauli mabovu ya mipasho. Nakumbuka hata baba nyumbani alituadhibu kwa tabia hio hio. Unaambiwa kitu flani sio kizuri hakipendi usifanye ila unajitia ununda unafanya makusudi. Kumbuka ulishapewa onyo ila jeuri yako sasa itakuponza na kitachokukuta ni kichapo tu. Hamna namna na usiombee upigwe na mtu mpole kama mimi maana hasira zake hata nyati anasubiri!
 
Niligunduaga kua ana mchepuko nkamkanya zaid ya mara 4 akawa anadai namsingizia....za mwiz ni 40 nkawa nmemnasa wakiongea kwa cm km dk12 iv akiwa chumban mi nko seblen na hata hakujua kua nisharud
Nlipochoka kuwasikiliza niliingia chumban ....duuuh akitaman apogee lkn haikuwezekana.

Nlishindwa kuvumilia aisee nlimzibua xn cku iyo
 
Wanawake wanaudhi sana anaweza kukupa maneno makali ukahisi kifua kinajaaaa hasira, mwisho wasiku inabidi umtulize kwa makofi kadhaa, akiwa mbishi ndo atakula zaidi. Maaana atajifanya kurudisha. Mdomo huponza kichwa
 
Sawa mkuu ila kuna baadhi ya wanaume hiyo ni hulka yao kuwapa vipigo wake zao saa nyingine unakuta mke hana hata kosa au unakuta kosa lenyewe haliendani na kipigo mke atakachotembezewa.
 
Dah.... Siku alipoweka chumvi nyingi kwenye supu....nilimkata sikio moja.....nikamvunja mguu na kumuunguza kwa pasi mgongoni... sasa hivi yupo makini sana......sipendi ujinga[emoji12] [emoji12]
 
Sawa mkuu ila kuna baadhi ya wanaume hiyo ni hulka yao kuwapa vipigo wake zao saa nyingine unakuta mke hana hata kosa au unakuta kosa lenyewe haliendani na kipigo mke atakachotembezewa.
Ni kweli kuna ME wana hulka hio ila sio wote, mwanamke akiwa mtulivu ana asilimia kubwa za kutopigwa kabisa. Ingawa wanaume walevi ndio wanatabia za kibwege za kupiga wake zao sana wakirudi usiku.
 
Dah.... Siku alipoweka chumvi nyingi kwenye supu....nilimkata sikio moja.....nikamvunja mguu na kumuunguza kwa pasi mgongoni... sasa hivi yupo makini sana......sipendi ujinga[emoji12] [emoji12]
Hivi ndio vipigo vya walevi...Unapiga mtu bila ishu ya msingi
 
Wanawake wanaudhi sana anaweza kukupa maneno makali ukahisi kifua kinajaaaa hasira, mwisho wasiku inabidi umtulize kwa makofi kadhaa, akiwa mbishi ndo atakula zaidi. Maaana atajifanya kurudisha. Mdomo huponza kichwa
Ile kukupandishia sauti af anatoa mineno ya kanga ile dah. Lazma mtu apasuke tu maana ninakosaga raha sana! Kuishi na mke sio lele mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…