AHMARDZ
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 790
- 677
hata mimi mkuu.Unashangaa nini sasa? Tulia umri ufike uweke mtu ndani ndio utajua watu wanazungumza nini, niliwahi kujiapiza sitompiga wife lakini ilishindikana aiee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata mimi mkuu.Unashangaa nini sasa? Tulia umri ufike uweke mtu ndani ndio utajua watu wanazungumza nini, niliwahi kujiapiza sitompiga wife lakini ilishindikana aiee
Mwandishi Chinua Achebe katika kitabu chake cja Antihills of the Savana anasema: "... Sio ushujaa kumpiga mkeo, kama unataka kupigana, kapigane na wanaume wenzio". Mke hastahili kupigwa for whatever reason. Yeye sio mtoto na sio ngoma. Kama mwanaume anavyoweza kukosea, vivyo hivyo na mwanamke.Mahusiano hupitia katika vitimbwi,furaha,huzuni na wakati mwingine hadi mauaji.
Yamkini ni nadra sana kukuta mahusiano yaliyoweza kudumu kwa muda mrefu mathalani muongo mmoja bila ya wanamahusiano kupeana kichapo au mmoja wapo kuadhibiwa mara kwa mara.
Je ni tukio gani lilipelekea kumwadhibu mpenzi wako?binafsi niliwahi kumpa kichapo kutokana na tendo la kukiuka makubaliano,ambapo alienda kwenye harusi ya rafiki yake na kulala huko kwa siku tatu licha ya makubaliano yetu ilitakiwa alale kwa siku moja tu
Mi nishapiga mpk nikamtoa damu na talaka nikampatia....beki hazikabi kbs alikua...akisifiwa tu kaachiaMahusiano hupitia katika vitimbwi,furaha,huzuni na wakati mwingine hadi mauaji.
Yamkini ni nadra sana kukuta mahusiano yaliyoweza kudumu kwa muda mrefu mathalani muongo mmoja bila ya wanamahusiano kupeana kichapo au mmoja wapo kuadhibiwa mara kwa mara.
Je ni tukio gani lilipelekea kumwadhibu mpenzi wako?binafsi niliwahi kumpa kichapo kutokana na tendo la kukiuka makubaliano,ambapo alienda kwenye harusi ya rafiki yake na kulala huko kwa siku tatu licha ya makubaliano yetu ilitakiwa alale kwa siku moja tu
Hongera sana.Ulimpiga mchumba au mke?
Sijawahi pigwa kwenye uchumba wala ndoa,,,kwanza kwann anipige,kwa kosa gani
Mwanaume ktk mahusiano ni mtawala na co kiongoziMwandishi Chinua Achebe katika kitabu chake cja Antihills of the Savana anasema: "... Sio ushujaa kumpiga mkeo, kama unataka kupigana, kapigane na wanaume wenzio". Mke hastahili kupigwa for whatever reason. Yeye sio mtoto na sio ngoma. Kama mwanaume anavyoweza kukosea, vivyo hivyo na mwanamke.
Ndio nguvu yao ilipo yani ukimtia mkononi utavyomyumbisha hadi huruma itakujia ila wanakeraaaaa..!!! Unaona sasa hivi nilioa hili likitu la kunikosesha raha hivi ili iweje yani, basi tu nao wanaona raha kupiga makelele tu. Well tusipige hawa watu tenaHata mimi niliwahi kujiapiza hicho kitu,but i didi it once na sijawahi kupiga tena,ila kiukweli midomo ya wanawake inahitaji uvumilivu wa hali ya juu sana,cha muhimu ni kumuomba Mungu akupe hekima ili uweze kuishi nao salama otherwise mtakuwa na magomvi yasiyoisha..
Hii nakubali yani na mazingira ya kupigwa huwa wanayatengeneza wenyewe sema ni vile wanataka wapime ile level of tolerance bila kujua hata tairi ukijaza upepo sana linaweza burst vibaya mno!Ndio Mkuu some time wanapoelezwa kwa maneno inakuwa shida kama hali ikiendelea inabidi Mkuu..
Siku akianza ukaidi hadi ukakereka utajua kwanini ata tusio na mikono ya kupiga tulifanya hivyo. You love somebody to an extent huwezi hata kuelewa kwanini anakuboa makusudi tu! Thats a womans attitude..shit tests!
Ninavyoogapa kipigo na kuupenda mwili wangu huwa najikuta ni mtu niliyenyooka na ndio maana kwenye mahusiano sijawahi kumbana na hiyo dhahama.
Sio siri huwa nashangaa sana mwanaume anayempiga mwenza wake iwe kwa kosa lolote lile kwa sababu siku zote sijawahi ona suluhu ikipatikana kwa kipigo. Ila wanaume mnaopiga wenza wenu Mungu anawaona aisee. Japokuwa wengi wenu mtajifanya hampigi mwanamke ila kiuhalisia ni wanaume wengi sana wasiojua kutatua tatizo pasi kutoa kipigo.
Wanawake wanaudhi sana anaweza kukupa maneno makali ukahisi kifua kinajaaaa hasira, mwisho wasiku inabidi umtulize kwa makofi kadhaa, akiwa mbishi ndo atakula zaidi. Maaana atajifanya kurudisha. Mdomo huponza kichwaWell to be honest mimi ni mpole/mtaratibu sana ila nna hasira sana so sipendagi uchokozi, usumbufu na kuharibiana siku kwa ligi ama ugomvi usio na lazima.
There was a time nilivumilia zile kelele za kike toka kwa shemej/wifi yenu ikafikia point ikawa too much nawaza hata narudije nyumbani. Ukifika tu mziki umeanza yani unalazimishwa kubishana over trivial things then unanyamazishwa kwa kauli moja inayokera balaa. Kuna siku nikaona sio kweli sasa nikaamua kusimama nikatoa kichapo heavy sana sikuwahi kupiga KE before, nilimvunja jino la mwisho.
Kesho yake sikwenda mihangaikoni nikawa ninamuuguza maana nilimchapa haswa. Naweza sema kipigo kilisaidia kwa kiwango flani maana dharau iliisha na ile kero ya gubu ikawa imeisha hivyo. Ila tangu na hapo nilijiapiza sitopiga tena maana naweza ua mtoto wa mtu aisee till date sipigi mwanamke i felt so guilty. Nilichojifunza baadhi ya wanawake wa kiafrika wanapendaga kudundwa someties ili akili ziwakae sawa ingawa sio kitu kizuri.
Sawa mkuu ila kuna baadhi ya wanaume hiyo ni hulka yao kuwapa vipigo wake zao saa nyingine unakuta mke hana hata kosa au unakuta kosa lenyewe haliendani na kipigo mke atakachotembezewa.Kama umestaarabika kupigwa utakusikia kwenye vyombo vya habari tu na inapendeza kuwa mwanamke msikivu.
Kinachofanya wenzio wapigwe ni ukaidi na ma kauli mabovu ya mipasho. Nakumbuka hata baba nyumbani alituadhibu kwa tabia hio hio. Unaambiwa kitu flani sio kizuri hakipendi usifanye ila unajitia ununda unafanya makusudi. Kumbuka ulishapewa onyo ila jeuri yako sasa itakuponza na kitachokukuta ni kichapo tu. Hamna namna na usiombee upigwe na mtu mpole kama mimi maana hasira zake hata nyati anasubiri!
Ni kweli kuna ME wana hulka hio ila sio wote, mwanamke akiwa mtulivu ana asilimia kubwa za kutopigwa kabisa. Ingawa wanaume walevi ndio wanatabia za kibwege za kupiga wake zao sana wakirudi usiku.Sawa mkuu ila kuna baadhi ya wanaume hiyo ni hulka yao kuwapa vipigo wake zao saa nyingine unakuta mke hana hata kosa au unakuta kosa lenyewe haliendani na kipigo mke atakachotembezewa.
Hivi ndio vipigo vya walevi...Unapiga mtu bila ishu ya msingiDah.... Siku alipoweka chumvi nyingi kwenye supu....nilimkata sikio moja.....nikamvunja mguu na kumuunguza kwa pasi mgongoni... sasa hivi yupo makini sana......sipendi ujinga[emoji12] [emoji12]
Ile kukupandishia sauti af anatoa mineno ya kanga ile dah. Lazma mtu apasuke tu maana ninakosaga raha sana! Kuishi na mke sio lele mamaWanawake wanaudhi sana anaweza kukupa maneno makali ukahisi kifua kinajaaaa hasira, mwisho wasiku inabidi umtulize kwa makofi kadhaa, akiwa mbishi ndo atakula zaidi. Maaana atajifanya kurudisha. Mdomo huponza kichwa