Taja kilichosababisha mpaka umpige mkeo au mpenzi wako katika maisha yenu ya mahusiano

Sijawahi kupiga mwanamke na sitakuja kupiga KE. Japo nasifika kwa kuwapigia kisakolojia, nina uwezo wa kumkondesha demu wa kilo 70 hadi 45 kwa mawazo tu.
 
A
 
Attachments

  • FB_IMG_1505546168398.jpg
    FB_IMG_1505546168398.jpg
    20.2 KB · Views: 130
Mwanamke hapigwi mkuu unamiga kwa kanga na kichapo cha muhogo wa Jan'gombe

Yaani wewe unashangaza sana, Tangu lini KE anaogopa Muhogo wa Jang'ombe? Kugegeda ni jambo lenye raha unadhani ndio linawatisha KE mkuu?
 
Sijawahi kupiga mwanamke na sitakuja kupiga KE. Japo nasifika kwa kuwapigia kisakolojia, nina uwezo wa kumkondesha demu wa kilo 70 hadi 45 kwa mawazo tu.

You are very bright, wanaotumia nguvu Mara nyingi hawako bright. Hakuna silaha mbaya kama ya Ku torture MTU kisaikolojis nguvu achia wanyama
 
Punda Bila mateke haendi....Kama bado unampenda mkeo MAKOFI LAZIMA ACHEZEE..wewe endelea kumwonyesha MENO mwanamke UONE mwisho wake.....Mimi hadi leo ANA ALAMA JICHONI...narudi nyumbani nakuta ananuka POMBE....aisee niliruka KICHWA CHA MKIZI......nikamkata juu ya jicho.....hadi leo nikimwambiya ..WEWE.. TULIA..nikama mbwa mwenye MAFUNZO..anatulia TULII...kabisa....lakini sina UBABE wa KIJINGA..panapo makosa naomba radhi kwa mke wngu...namnyenyekea vibaya sana tu....lakini kama yeye ndy kafanya makosa LAZIMA NIMYOOSHE...mwanamke ni kama mtoto MTUKUTU..sometimes mwili unawashwa....UKIMTIA MAKOFI....mkianza KUBEMBELEZANA NDY HAPO mapenzi yanaporudi UPYA.....NI KAMA tuna UPDATES LOVE .....mnielewe hapa sizungumzii UBABE WA KILEVI....nazungumzia msimamo kama mwanamme endapo mwanamke atafanya MAKOSA YA MAKUSUDI..kama KUCHAT NA DUME USIKU....KUMFUMA SMS na za dume...kurudi kalewa na mm sinywi pombe...KUONGEA na simu kwa kujificha ....kufanya maamuzi bila kunishirikisha na mengineo.....MAKOFI ATAKULA....kila NDOA lazima ina katiba yake..kama katiba ikikiukwa lazima APATE MAKOFI.....
 
Sahihi kabisa mkuu....me sijapiga bado ila nishatoa mwongozo kwamba asijisahau,siku nitakayoamua kumrudisha kwenye mstari nitamnyoosha kama rula,naona analizingatia hilo na maisha yanaenda.
 
Hakika mkuu ....hawa wwnawake wanataka mapenzi TAMU CHUNGU...usieleweke eleweke...akajuwa udhaifu wako.....anapaswa ikifikia kipindi cha kufanya KOSA anajitathmini mara kumi kumi....jamaa huyu akinikamata nimekwisha...isifikie akasikika akisema hata AKIJUWA HANA CHA KUNIFANYA YULE...mume wangu namjuwa mm hafanyi kitu hapa...hesabu umekwisha mkuu......
 
Punda Bila mateke haendi....Kama bado unampenda mkeo MAKOFI LAZIMA ACHEZEE..wewe endelea kumwonyesha MENO mwanamke UONE mwisho wake.....Mimi hadi leo ANA ALAMA JICHONI...narudi nyumbani nakuta ananuka POMBE....aisee niliruka KICHWA CHA MKIZI......nikamkata juu ya jicho.....hadi leo nikimwambiya ..WEWE.. TULIA..nikama mbwa mwenye MAFUNZO..anatulia TULII...kabisa....lakini sina UBABE wa KIJINGA..panapo makosa naomba radhi kwa mke wngu...namnyenyekea vibaya sana tu....lakini kama yeye ndy kafanya makosa LAZIMA NIMYOOSHE...mwanamke ni kama mtoto MTUKUTU..sometimes mwili unawashwa....UKIMTIA MAKOFI....mkianza KUBEMBELEZANA NDY HAPO mapenzi yanaporudi UPYA.....NI KAMA tuna UPDATES LOVE .....mnielewe hapa sizungumzii UBABE WA KILEVI....nazungumzia msimamo kama mwanamme endapo mwanamke atafanya MAKOSA YA MAKUSUDI..kama KUCHAT NA DUME USIKU....KUMFUMA SMS na za dume...kurudi kalewa na mm sinywi pombe...KUONGEA na simu kwa kujificha ....kufanya maamuzi bila kunishirikisha na mengineo.....MAKOFI ATAKULA....kila NDOA lazima ina katiba yake..kama katiba ikikiukwa lazima APATE MAKOFI.....

Ila mkuu pamoja na yote ulifanya vibaya uruke kichwa kwenye uso wa mwanamke ungempasua jicho ungefanyaje?
Ww ukikosea unaomba msamaha yanaisha ila mwenzio mpk makofi[emoji26]
 
Mahusiano hupitia katika vitimbwi,furaha,huzuni na wakati mwingine hadi mauaji.
Yamkini ni nadra sana kukuta mahusiano yaliyoweza kudumu kwa muda mrefu mathalani muongo mmoja bila ya wanamahusiano kupeana kichapo au mmoja wapo kuadhibiwa mara kwa mara.
Je ni tukio gani lilipelekea kumwadhibu mpenzi wako?binafsi niliwahi kumpa kichapo kutokana na tendo la kukiuka makubaliano,ambapo alienda kwenye harusi ya rafiki yake na kulala huko kwa siku tatu licha ya makubaliano yetu ilitakiwa alale kwa siku moja tu
Hakuna kitu ambacho sipendi kama kumpiga mtu mzima mwenzangu...tena ubavu wangu msaidizi wangu...MUNGU Anisaidie na aniongoze kwa hili isijetokea...machozi ya manamke ni mikosi...kwani wewe mwanaume ukikosea nani anakupiga?
 
Back
Top Bottom