Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

1. Ukingata kizibo cha soda ya chupa, ukakitia ndani ya soda, gesi inapungua

2. Sukari ndio inasababisha kisukari

3. Tuna demokrasia (uhuru wa kujieleza bila vizuizi, uchaguzi huru bila majeshi kuingilia, n.k)
“In the sky, there is no distinction of east and west; people create distinctions out of their own minds and then believe them to be true.”
 
Kuamini wanawake wako wengi duniani kuliko wanaume.
 
Kuamini CCM italikomboa hili taifa dhidi ya maadui watatu( umaskini, ujinga na maradhi).
 
Sababu:: Hakuna uwanja (stadium) kubwa ya kisasa yenye uwezo wa kuacommodate watu wengi.
NAULIZA KWA SAUTI KUBWA.
SHEREHE ZA UHURU WA TANGANYIKA KWA NINI HAZIFANYIKII DODOMA?
 
Back
Top Bottom