Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

Nipe somo kidogo,
SoMo ni Kwamba Dunia haijawahi kuumbwa na kiumbe anayeitwa Mungu kamwe,na huyo Mungu hata hayupo na hajawahi kuwepo,Ili ujue hayo lazima ujue Dunia Ina Miaka mabillion nyingi tangu iwepo
ila hekaya za dini zinadai Mungu aliiumba Miaka 6000 BC hapo juzi
Kiufupi Dunia imekaliwa na jamii za Alliens Kwa mabillion ya Miaka huko nyuma na mpaka pale ilipotokea vita kubwa ya nuclear,
Iliyoua maelfu ya spices za viumbe hai wakiwemo dinosaur

Baada ya Ile vita kuisha aliens wengi wakabuni mbinu mbadala za kuirenew Dunia ndipo Sasa aliens waliokua na nguvu wakuitwa Illojim wakamtengeneza DNA na kuzipandikiza kwa primitive humanoids ambao baadae zikawa zinawabadilisha taratibu kwenda kua homo sapiens kamili lengo ni waitunze Dunia irudi kwenye nature na wakaweka sheria Kali Kwa jamii nyingine za Alliens Marufuku ya kuingilia mpango ndipo Sasa waliobaki wakaanzisha bases chini ya bahari zote na hua wanaishi Huko Kwa maelfu ya Miaka

Kama umewahi sikia visa vya majini wanaoishi baharini hao Ndio jamii yenyewe ya Alliens wa kale zaidi kuwahi ishi duniani na hua wanafuata miongozo ya kutowaingilia binadamu na wanapotoka huko sharti lao nikuvaa uhusika na umbo la kibinadamu
Turudi Kwa hao Illojim ambao walipandikiza DNA kwetu wao waliondoka na kurudi kwenye sayari zao anga za juu na hua baada ya Miaka kadhaa hurudi kama watchers kuiangalia Dunia na mwenendo wake pia huja kuangalia kama jamii zile za Alliens wengine wamevunja kanuni walizojiwekea,

Na Ndio maana kama Wewe ni mfuasi wa dini Kuna Hadith za Kwamba binadamu ni kiumbe anayeogopewa na viumbe wengine wote hapa Duniani
Na baadhi ya Alliens waliojivika miili ya kibinadamu watu hao huanza kunena Lugha za ajabu na hicho kitu kutoka Ndani yake hunena maneno ya kuogopa nguvu flani kutoka Kwa binadamu maana Illojim wana uwezo wa ajabu wa kukonect dot na kufungua milango ya fahamu inayoleta nguvu za kupambana na Hao viumbe hiyo hua mnaita maombi hayo maombi Ndio nguvu ya kufungua code Kwenye miili ya binadamu na kutuma sign Kwa walio tufanyia program nikimaanisha Illojim,hao Illojim huweka kumbukumbu ya matukio siku ambayo watchers wanapokuja hua wanashuka Moja Kwa Moja Kwenye base za Alliens na kufungua data za wahalifu walio enda kusumbua watu wa kawaida na Ndio maana hao viumbe huwaogopa watu wenye uwezo wa kufungua code
Na kuwakimbia,wao hudeal na watu dhaifu tu hapo ndipo maswala ya Dini yalipozaliwa
Kufungua codes kuwasiliana na viumbe nje ya mfumo wetu wa kawaida!

Daaa inachosha kuandika na kusoma najua Kuna watu wataniona Mwendawazimu ila hiki nachokiandika hapa kina karibiana na ukweli na watu wachache wenye elimu hizi hua tunashindwa kuweka wazi sababu binadamu wenzetu washakua Brain washed na kuona haya mambo ni conspiracy theories!
Usipoelewa basi siku njema!
 
Watu kudhani huyo aliye kwenye avatar eti sio mimi wakati hawanijuwi.
 
Kusema kuna mwisho wa dunia yote na moto wa milele
 
@Mathanzua
huyo jamaa uliemtag ana vioja sana anakwambia Dunia ni flat,hua anapinga project zote na kuita ni uongo na propaganda na huita ni njama za Lucifer huku akitumia kifaa na teknolojia ya Lucifer kumpinga na kumkandia Lucifer,
Hua ananiacha hoi sana Mr brain washed!
😁😁😁😁😁
 
Ni yale maneno ya mkosaji au maskini
Anaamin kushiba ni kushiba tu aliekula ugali dagaa na aliekula ugali kuku wote sana
Alielala guest ya elf 5 na yule alielala hotel ya nyota 5 wote wamelala na usingizi ni usingizi tuu
Anaendesha range rover ya millon 200 ni sawa na anaeendesha toyota 12 million wote si wanafika hahahahaha hao watu bana wanaifulaishaga sana
 
Angalia mkuu, unataka watu wapime mitambo yao, maana Kuna vibuyu vngne havjaguswaga muda mrefu .[emoji23][emoji23][emoji23].utani
aah hio jadi yetu haina madhara mila inadumishwa
 
Kama Dumas the terrible haamini uwepo wa(kwa mujibu wa yeye) kiumbe kinacho itwa Mungu.
 
Back
Top Bottom