Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

Soda ya pepsi yenye chupa ya zamani ni tamu kuliko ile ya kwenye chupa mpya[emoji23][emoji23][emoji1316][emoji1316]
 
1. Chuma ulete. mbona hawaibi bank.
2. watoto wananunuliwa.
 
1. Ukingata kizibo cha soda ya chupa, ukakitia ndani ya soda, gesi inapungua

2. Sukari ndio inasababisha kisukari

3. Tuna demokrasia (uhuru wa kujieleza bila vizuizi, uchaguzi huru bila majeshi kuingilia, n.k)
Ukiandika Bangor kwa Lugha ya Kingereza kwenye biashara yako iliyoko Kolomije unakuwa matawi ya juu.!!!
 
Back
Top Bottom