Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

Taja kitu kisicho na ukweli ila watu wengi wamekariri ni ukweli bila ushahidi

Hallow naona unakoelekea siko,unataka matatizo wewe, sio bure.Mbona mtume wenu yule mwarabu sisi hatujamsema?.Heshimu Imani za watu.
Yesu sio Mungu wala mwana wa Mungu. Haijawahi kutokea na haitakuja iwe
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hii umenikumbusha mbali sana,miaka hyo tuko watoto ilikuwa tukienda kutega ndege kwa ulimbo tulikuwa tunajificha kusubiria ndege anase, basi ndege asiponasa halafu ukakutwa umeshikilia mapumbu unapigwa makofi kwa kusababisha ndege asinase.
Kushika pumbu kunazuia mashambulizi ya timu kwenye mchezo wa mpira
 
Et elimu ndio ufunguo wa maisha.
Elimu ya mtaani ni ufinguo wa maisha ya mtaani (street smart)

Elimu inayozungumziwaga hapa ni ya darasani ambayo ni mmoja wapo kati ya elimu nyingi sana ambayo huwezi kuitumia peke yake ili ufungue maisha yako, elimu ya darasani utaishi kujua hesabu, kugha, taaluma flani, n.k lakini bado una jukumu la kuwa na elimu nyingine za ziada ili uishi vizuri

Elimu ya dini ni ufunguo wa maisha ya ki imani

Elimu ya upishi ni ufunguo kwa mtu asiejua kupika
 
Back
Top Bottom