ThugMaster
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 1,601
- 2,275
Mkuu tupe madini hayo tuuze dawa.Unaamini kanisa ukimwi umekosa tiba??
People are doing business bro
Mkuu tupe madini hayo tuuze dawa.Unaamini kanisa ukimwi umekosa tiba??
People are doing business bro
Kinyume chakeKwamba kuna Mungu muumba wa kila kitu
Au niuwandikie ushuhuda wangu uzi?Haleluya, ubarikiwe kwa kutoa ushuhuda.
Kama unabishana na mimi niliyekuwa mgonjwa.basi tena sikuweziHakuna kitu kama hicho...yani maneno yakuponueshe[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli waafrica ipoo shidaa
Huyo aliekuombe akipata homa tu unamkuta kwenye foleni za mloganzila
Au jiwe kawa Rais kwa kura alaliUchaguzi mkuu 2020 Upinzani wameibiwa Kura
Hapo nyani umebugi meeeenUchawi
Wewe ni chizi maarifa japo sijui inamaanisha niniEti chadema ni chama cha siasa
Hakuna uchawi wewe. Kama upo, thibitisha.Hapo nyani umebugi meeeen
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiramba kipepsi (kiwiko) cha mkono unageuka jinsia?
Fanya hivyo mkuu.Itapendeza.Au niuwandikie ushuhuda wangu uzi?
Fafanua mkuu,tujue kiundani.Sio ugonjwa, ni janja janja tu ya wasomi dhidi ya wenye uwelewa mdogo wa maswala ya afya.
Marekani wanafadhili ugaidi
Hizo ni propaganda...usiulize ni wapi,ni nani ni lini, ili iweje?Ulikuwa hujui